Vodacom yakabidhi baiskeli kwa mawakala wa usajili Musoma


KAMPUNI ya mtandao wa simu  za mkononi ya Vadocom umekabidhi baiskeli kwa mawakala wake wa usajili waliofanya vizuri zaidi kwa kutoa huduma hiyo pamoja na nyingine  za mtandao ili ziweze kuwarahisishia kazi katika kuwahudumia wateja kwenye maeneo yao bila kuwa na vikwazo vyovyote.

Meneja mauzo wa Vodacom kanda ya Tarime, Stide Tibenda,ambaye pia alikabidhi jezi kwa mashabiki wa soka John John kupitia promosheni ya soka letu, amesema baiskeli hizo ni motisha kwa mawakala hao katika kuwatia moyo na kuwalahisishia kazi ya kuwahudumia wateja katika kuwapa huduma mbalimbali
Meneja mauzo wa Vodacom kanda ya Tarime, Stide Tibenda, akimkabidhi John jezi yake aliyojishindia kupitia promosheni ya Soka Letu


 Baiskeli zikiwa tayari kukabidhiwa mawakala
 Mambo ya makabidhiano yaliyofanyika kwenye duka la Vodacom mjini Musoma
 Furaha ya kupata baiskeli

 Mawakala wakiwa na baiskeli zao walizokabidhiwa

No comments

Kamati zapewa mafunzo ya kupambana na ukatili

KAMATI za kupambana na masuala ya ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya wilaya ya Rorya zimepewa mafunzo ya kupambana na masuala ya ...

Powered by Blogger.