Kambi Miss Mara 2018 yazidi kushika kasi kwa maandalizi
KAMBI ya maandalizi ya shindano la Miss Mara kwa mwaka 2018 imeendelea kushika kasi kwenye eneo tulivu la Le Grand Beach manispaa ya Musoma huku tayari jumla ya warembo 15 wakiwa kambini kujiandaa na kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika julai 7 mwaka huu. |
No comments